Alhamisi, 13 Oktoba 2016

Download New Video : Diamond Platnumz ft Raymond - Salome(Kirundi Version) { Official Video } - G4D TZ REAL



Mambo vp wadau wa Blog hii leo nipo hapa kuzungumza kuhusu swala la kuimarisha afya zetu.
Tunapozungumzia Afya Tunakuwa Tunazungumzia Uwanja Mpana Sana,afya Ya Mwanadamu Inaitaji Vitu Vingi Iliiweze Kuwa Imara Vitu Hivyo Ni Pamoja Na:-

->Kula Chakula Bora

Chakula Bora Kinasaidia Pia Katika Uimarishaji Wa Afya Zetu

->kupunguza Unywaji Wa Pombe Kupita Kiasi

Unywaji Wa Pombe Pia Unachangia Ktk Uharibifu Wa Afya Zetu,kwa Hiyo Unashauri Wa Kupunguza Kama Sio Kuacha Kabisa

->kufanya Mazoezi Ya Mwili

mazoezi ya natusaidia katika utunzaji wa afya na pia hutuepusha na magonjwa.
Hizo Ndizo Njia Za Kutunza Afya Zetu Na Kuzifanya Ziweimara Sana.